magari

  1. Lycaon pictus

    Kuendesha magari kushoto ni moja ya hasara tuliyoachiwa na mkoloni.

    Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza. Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani...
  2. Bull Striker

    Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
  3. Magical power

    nikiona magari ya OYA.

    Nikiona magari ya OYA Yanakuja kwenye duka langu
  4. K

    Dotto Magari: Mabilionea na Wawekezaji waliokimbia Nchi, wote wamerudi na wanawekeza Tanzania

    Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi. Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa...
  5. L

    Ninaweza kutumia magari mangapi yanayobeba mchanga kujaza

    Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level
  6. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Hawa vijana wa skauti wanaruhusiwa kusimamisha magari na piki piki?

    Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki yako pale Ilibidi nishuke nimfuate nimchape kibao kwanza na nikamuuliza wewe huna sare yoyte...
  7. Teslarati

    Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
  8. RICH-HARD

    Mambo gani ya kuzingatia wakati wa kununua gari?

    Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kununua Gari ya kutembelea? Natanguliza shukrani
  9. Mindyou

    Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  10. R

    Ushauri: Gari zote ziondolewe vioo vya tinted Ili kuwabaini watekaji wasiojulikana

    Salaam, shalom!! Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili. Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu. Ushauri: Gari zote ziondolewe...
  11. M

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  12. BabaMorgan

    Orodha ya bandari kavu za magari Dar es salaam.

    Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari. Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
  13. Midekoo

    Uzi maalumu wa picha za misemo mbalimbali ya kwenye magari

  14. FRANCIS DA DON

    Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  15. Loading failed

    Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

    Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa Ndugu zangu...
  16. and 300

    Doto Magari Vs Mauki

    1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers. 2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi. Nini maoni yako?
  17. GENTAMYCINE

    Yaani Mtu anajiita Msomi halafu inapita Mwezi au Miezi hajafungua hata Email yake ajue kuna nini, kwanini Dotto Magari 'asitudharau' tu na Kumnunia?

    Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
  18. The Burning Spear

    Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  19. shamimuodd

    Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

    GTs, Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa wamtembelee
  20. A

    DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
Back
Top Bottom