Jamani kwema?
Nisiwachoshe.
Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo.
Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee.
Sasa wiki...
Habari ya uzima.
Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane .
Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper
Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons.
Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa
nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania?
Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi,
Honda crossroad,
Toyota Voltz
Mitsubish outlander au
Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi.
Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni..
Lugumi anaweza asiwe tajiri sana lakini ameweza pengine kuziishi ndoto zake
Utajiri una level zake
Utajiri ngazi ya...
Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana .
Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI
Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo.
Taarifa zinasema...
Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs.
Sasa tofauti ni wapi?
Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM.
Picha...
Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi.
Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza.
Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia.
Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili...
Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.
Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.
Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.