magari

  1. N

    Tetesi: Wafadhili wa Lissu na CHADEMA wamwahidi Lissu Helkopta 3 na magari 31 mapya kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

    Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025. Haijafahamika...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Kijana anatafuta kazi yeyote ile (Za ndani, kuuza duka, shamba boy, kuosha magari, kulima, saidia fundi n.k)

    Habari JF members, Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO. Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa. Anaweza kufanya kazi zifuatazo: 1. Za ndani 2. Kuuza duka, 3. Shamba boy, 4. Kuosha...
  3. Mad Max

    Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Habari wakuu. Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance). Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis. Sasa tukienda gereji...
  4. Ngongo

    Wenje: Lissu alimsingizia Mbowe kahongwa magari mawili

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa uchonganishi na kumsingizia Freeman Mbowe kuhongwa magari mawili Wenje amedokeza Mbowe alinunua magari...
  5. G

    Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuanzia Plate number AAA mpaka E ya mwisho, kuna magari mangapi Hint: Kuna herufi za platenumber huwa zinarukwa
  6. BabaMorgan

    Kwa mujibu wa data, meli ya HOEGH AURORA(vehicles carrier) ndio meli inayobeba magari mengi takribani magari 9100

    Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good condition na kuhakikisha hawachanganyi chochote kwa maana ya rekodi za vitabu na mzigo physically.
  7. S

    DOKEZO Kwa wote mnaotarajia kusafiri kwa magari yenu kipindi cha December/January ningependa kuwakumbusha jambo la msingi sana hapa, kwa faida na uhai wenu

    Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
  8. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  9. Mad Max

    Tesla Cybertruck imeonekana katika kiwanda cha magari cha BYD China. Wachina wanataka kufanya reverse engineering nini?

    Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD. Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua...
  10. D

    Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  11. A

    KERO Vikindu: Barabara inayotumiwa na wakazi wa Njia Nne, Kilongoni na Mwema ni mbovu sana, ifanyiwe ukarabati

    Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita. Ikitokea una dharura kama...
  12. W

    Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  13. tang'ana

    Maningi International: Waingizaji na wasambazaji wa spare parts za magari Tanzania

    Tunapatikana Dar es Salaam, Kariakoo, Kisutu, Mbezi ya Magufuli na Manzese. Mikoani na nchi jirani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana. Kwa mawasliano zaidi piga 0714528887 au tembelea website yetu. Karibuni sana
  14. KENZY

    Huko ughaibuni ni kweli watu wanaishi kwenye magari kwasababu kodi ya pango ni kubwa

    Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba! Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba...
  15. Mwanongwa

    KERO Madereva wa Magari ya Mizigo tumekwama mpaka wa Malawi na Tanzania kwa wiki 2, tunawasubiri NEMC

    Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania. Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
  16. The Watchman

    Magari mapya yatolewa kwa wakuu wa wilaya za Mkoa wa Pwani

    Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao. Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa magari hayo ili kuwawezesha viongozi...
  17. ommytk

    Wazo kwa serikali; Daraja la Busisi likianza kazi tulipie magari na waenda kwa miguu bure

    Hili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya serikali yetu Ila iwe kwa magari tu baskeli pikipiki na waenda kwa miguu iwe bureeeeee Mfano gari...
  18. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Mpango akabidhi magari 96, pikipiki 300 za Chanjo

    Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na pikipiki 300 zenye thamani ya Shilingi Bilioni Nane ambayo yatasambaza huduma za chanjo kote nchini...
  19. JamiiCheck

    KWELI Stephen Wasira: Magari ya kubebea wagonjwa 528 yamenunuliwa na serikali ya awamu ya sita, CHADEMA ilikuwa na malengo ya kusimamisha wagombea 85% mjini

    JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga...
  20. Sniper

    Magari ambayo unaweza kuendesha miaka 15 bila shida kubwa

    MwanaJF, Naomba tujadili magari magumu zaidi kwa mazingira ya Tanzania. Magari ambayo unaweza ukaendesha zaidi ya miaka 15+ bila shida kubwa kubwa. Services za kawaida na replacement ndogo ndogo. Kwa uzoef wangu naona yafuatayo 1. Toyota Carina Ti 2. Rav 4 old model 3. Suzuki Escudo 4. Toyota...
Back
Top Bottom