magari

  1. Mad Max

    My Top 5 list ya Movies za Mashindano ya Magari!

    1. Ford v Ferrari (2019) 2. The Fast and the Furious (2001) 3. Rush (2013) 4. Days of Thunder (1990) 5. Cars (animation) (2006)
  2. Waufukweni

    Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo...
  3. Mad Max

    Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  4. S

    TANROADS epukeni mfumo wenye traffic lights kwenye barabara kuu zilizo na magari mengi, kwanini mnatuangusha kama hamna utaalamu?

    Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
  5. Mad Max

    Madalali wa magari wanazingua sio kidogo

    Tuachane na BMW kuuzwa cheap kuliko IST, tuongelee huyu Dalali wnavyoiita hii 3 Series. Si angesoma ata nyuma tu hapo.
  6. Bob Manson

    Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  7. Mad Max

    Ku-save pesa unapotaka kununua gari mtandaoni kutoka Japan

    Wakuu, Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane. Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa unafanya survey ya gari, ukishachagua model unayotaka, nashauri usikimbilie kulipia hapo hapo. Jipe...
  8. Yesu Anakuja

    DOKEZO Mkurugenzi wa Jiji Dodoma fuatilia watoza huduma maegesho wako!

    Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
  9. Mad Max

    Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

    Iwe Tanzania na Duniani, tumezoea kuona msanii fulani amenunua gari fulani la kifahari. Magari mengi ya kifahari hayapo practical kwa matumizi ya kila siku. Sasa hapa ndio daily driver cars zinapoingia, izi za kuendesha kila siku. Mfano: Unakuta Diamond Platnumz amenunua Rolls Royce lakini...
  10. Mad Max

    BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  11. Brojust

    Uzi maalumu kwa historia na maana ya vituo vya magari, daladala, na baadhi ya majina ya watu kwanini yalitumika kama kielelezo cha sehemu husika.

    Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi. 2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie ) 3. Kwa mpalange...
  12. W

    Car4Sale TUNAUZA SPARE PARTS ZA AINA YOYOTE ZA MAGARI MAKUBWA

    Karibu katika kampuni yetu Bora ya hanlink engineering subsidiary co.ltd.dar es salaam Tunazo spare parts zote za magari makubwa mfano howo, FAW, nk. Tunauza kwa Bei nzuri na huduma yetu ni ya uhakika 📍Tunapatikana Vingunguti-Karakana 📞Mawasiliano 0748270719 #HANLINK TUPO KWA AJILI YA...
  13. P

    KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

    Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari. Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
  14. Hhimay77

    car rentals/ kodi magari

    Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa: Magari yaliyotunzwa vizuri Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika Bei nafuu Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari Safiri kwa faraja na uhakika...
  15. Last_Joker

    Miundombinu ya Miji ya Kesho: Jiji Lako Litakuwaje Miaka 10 Ijayo?

    Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
  16. GENTAMYCINE

    Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

    "Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu...
  17. Mshana Jr

    Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  18. ESCORT 1

    Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  19. Mshana Jr

    Kasi ya ujenzi ya vituo vya kujazia mafuta ya magari inaendana na ubora, usafi na usalama wa mafuta yenyewe?

    Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara? Je magari yameongezeka sana nchini? Je kumekuwa na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa husika? Je ni njia ya utakatishaji pesa na biashara haramu Je kuna 'syndicate' ya...
  20. Pendragon24

    Polisi wanaozunguka na magari hapa mjini wanamtisha nani..!?

    Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni. Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini...
Back
Top Bottom