Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda.
Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
Deadline day shoking transfer
Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari maarufu kama langalanga( Formula one)lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes😅...
Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha.
Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini.
Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.?
Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria.
Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
Salam wana jukwaa,
Una hii kero nimeipata siku nyingi ila sikuwa na msukumo wa kuileta humu mpaka ilipokutana na mtu wangu wa karibu, haya magari ya ndugu zetu wa tanesco yale ya emergency huwa hawajui ni muda gani waendeshe kana kwamba kuna dharula.
Hii inapelekea gari lile kuendeshwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi.
Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya.
Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine.
Wakati napitapita kwenye mitandao...
Mzuka mwanajamvi.
Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo la aina yake nchini toka jana.
Video hapo chini
https://www.youtube.com/watch?v=Af0N3hZ66t0
LIKUD...
Naam kwa majina naitwa Selemani Sele.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion.
Toyota...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Rhond's company limited, we're car renting company with best services . All types of cars are available (Private)
Some of rental purposes include:
1.Tours
2.Weddings
3.Sendoffs
4.Funerals transfer
5.Picnics
6.Projects requiring car rental
7.NGO's
and many more
Location.Mwembechai
Call us...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limesema linaendelea na ukaguzi wa magari ya Shule ikiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka kabla ya muhula wa masomo kuanza ambapo imekuwa ikifanya ukaguzi wa magari hayo ili kubaini changamoto na kutoa maelekezo ya matengenezo ya vyombo...
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo.
========
Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
Rais wa pili wa Turkmenistan, Gurbanguly Berdimuhamedow aliyetawala nchi hiyo tangu 2006 hadi 2022 aliamrisha watu kuagiza magari meupe tu na sio ya rangi nyingine. Nchi hii iko Asia ya kati (Central Asia)
Rangi nyingine zilizuiwa bila kutoa sababu huku maafisa wa forodha wakisema kuwa rangi...
Life kama linaanza kuwa sawa kwa upande wangu.
Hivyo nahitaji niwe na kagari kamoja hivi ka kwenda nako harusini.
Je kwa Dar wapi naweza pata gari kali kwa bei Chee.
Budget yangu ni kama 5mil mpaka 7mil.
Nb* USED pia sitaki iSt
Habarini. Naomba kupata elimu ya kuweka "tinted" kwenye magari. Ni %gani zinafaa kwa vioo vya mbele na nyuma? Muongozo wa sheria za babarabarani zinasemaje kuhusu tints? Faida na hasara A tints ni zipi?
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023.
Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.