Serikali imetambua magenge 109 ya uhalifu yanayofanya shughuli katika maeneo mbalimbali nchini huku vyombo vya usalama vikiongeza juhudi za kuzuia vurugu na vitisho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo alisema Western inaongoza kwa magenge 38...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri, hivyo ushirikiano wa wananchi na vyombo vya usalama ni muhimu katika kudhibiti vitendo vya uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.