Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri, hivyo ushirikiano wa wananchi na vyombo vya usalama ni muhimu katika kudhibiti vitendo vya uhalifu.
Magenge ya uhalifu yako kwenye pagare la mtu fulani au yanakaa kwenye msitu wa mtu fulani au wamepanga mahali fulani... Kuna watu hapa tulishawahi kuwakamata wanatoka nchi za nje ambao kimsingi hata majirani zao hawajui kinachoendelea."