magenge ya uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yataja Magenge 109 ya Uhalifu kabla ya Uchaguzi wa 2027

    Serikali imetambua magenge 109 ya uhalifu yanayofanya shughuli katika maeneo mbalimbali nchini huku vyombo vya usalama vikiongeza juhudi za kuzuia vurugu na vitisho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Raymond Omollo alisema Western inaongoza kwa magenge 38...
  2. JamiiForums Tanzania Katambi: Magenge ya uhalifu linapopanga mambo yao linayafanya kwa njia ya kificho

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema jukumu la kulinda usalama wa nchi ni la kila mwananchi, akisisitiza kuwa makundi ya uhalifu hupanga na kutekeleza shughuli zao kwa siri, hivyo ushirikiano wa wananchi na vyombo vya usalama ni muhimu katika kudhibiti vitendo vya uhalifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…