Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...