Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji.
Wanaomfuatia Jean Charles Ahoua ni Clement Mzize na Prince Dube ambao wote wana magoli magoli 10 kila mmoja.
VINARA wa...
Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya
Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani
Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote...
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia.
Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube!
Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa.
Kudadadeki....!!!!!!!
Najaribu kuwaza:
Haya Magoli 1000 ambayo nimekua nikiyasikia toka midomoni mwa Kaka zetu, wajomba pengine wazee na vikongwe kuhusu Pele na Magoli yake 1000 ni Chai kongwe kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka ?
Huku ndiko yalipotoka Magoli msiyoyajua kukamilisha Idadi ya Goli Mbombo Goli...
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
africans
complex
duka
gold
itazame
ken gold
kengold
kikosi
kikosi cha yanga
kmc
kmc complex
kumbuka
live
maarufu
magoli
mechi
muuza duka
nbc
official
yanga
young
young africans
Hii ni gusa achia kilio kwao maana anafungwa fountain gate lakini kilio kinasikika upande wa pili!
Graph ya Yanga inapanda kwa Kasi ya kimondo Kila mechi unaona tofauti ya kimbinu, kiuchezaji, na kiufundi, Ile Kasi itaziumiza timu nyingi zitachakazwa!
Kabla ya mechi hizi 3 goal difference ya...
Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
Siku nzuri kwa mashabiki wa betting! Timu zangu za Over 2.5 zimekamilika, na kwa odds tamu kama hizi, hatuna budi kutinga faida. 🤑🔥
✅ Code ya BetPawa: TP5HM5B
✅ Odds jumla: 5.52
✅ Hakikisha unaweka kwa umakini ili kushinda zaidi!
Je, upo tayari kutengeneza pesa leo? Maoni yako ni muhimu...
Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi?
Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda...
Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu.
Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu yake na mwenzie Baleke. Hawa jamaa watatupia magoli mpaka amshangae. Lazima wafungaji bora wawili...
https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu.
Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.