magoli

  1. GENTAMYCINE

    Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
  2. GENTAMYCINE

    Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

    Hata ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo Wewe Samatta kwa jinsi Watanzania walivyo na nongwa hadi kisununu na wakisahau Kushukuru nami pia ningeongopa (ningejivunja) kama Wewe kwa kusema kuwa 'ninaumwa' ili nikae pembeni na niwaachie Wachezaji wengine wa Taifa Stars waliobaki 'wapambane' Mechi...
  3. Mapensho star

    Kwanini vyombo vya habari huwa hivioneshi magoli kwenye ligi yetu wakati wa kutangaza habari

    Huwa nashangazwa na jambo hili kwenye ligi yetu Tanzania mimi sio mfuatiliaji wa mpira mara nyingi nikiangalia taarifa za habari wasaa wa michezo huwa napenda kuangalia magoli yamefungwaje Lakini cha ajabu huwa nakutana na simulizi tu ya mchezo mzima ulivyotokea magoli siyaoni. Tofauti na ligi...
  4. Lord denning

    Uchaguzi 2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  5. Mzukulu

    Je, kumkandamiza Mwanamke Mabao/Magoli mengi ndiyo kumtosheleza?

    Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako. Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo Kumtosheleza kwa Kufika Kwake Kileleni au ni Ushamba na Kujichosha kama siyo Kujiumiza Mwenyewe?
  6. jmushi1

    Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

    Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) 🦠 Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa...
  7. Miki123

    Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

    Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran. Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga kushambulia majeshi ya Marekani nchini Iraq Trump ameshindwa kabisa kupambana na Corona sasa ameamua...
  8. Kunguru Mjanja

    Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

    Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
  9. kimbendengu

    Magoli mazuri ya EPL

    Wadau nimejaribu kufikiri hivi haya magoli yaliyofungwa misimu ya nyuma naona leo kile king'amuzi kingekitaa kabisa maana ni hatareee kama sio balaa
  10. May Day

    Hii timu inayoshindiliwa magoli na Simba huko Dar ni ya wapi?

    Mpaka sasa nasikia ni goli la tano, naambiwa timu inatokea Arusha ila mimi kama Mwana Arusha hata siijui.
  11. GAZETI

    Uliyaona magoli matamu ya Eritrea, kama unapenda soka hebu yaangalie

    Ilikuwa ni Eritrea na Kenya, msikilize mtangazaji mahiri ambaye simjui jina alichokisema
Back
Top Bottom