Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira.
Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.
Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini halafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10...
Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu.
Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi.
Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England kufungashiwa virago tangu msimu ulipoanza.
Taarifa iliyothibitishwa na Mmiliki wa klabu hiyo, Maxim Demin...
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa...
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John Bocco lilikuwa ni Offside, mimi nilidhani ni beki wa Kagera kumbe ni John Bocco, Simba inafunga...
Caf wamechagua mabao manne yatakayopigiwa kura kupata goli Bora la wiki, miongoni mwa hayo lipo la sadio Kanute ,Simba vs Gendamarine liliofungwa Benjamin mkapa.
Source:Mwanaspoti
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
Je,....
1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa?
2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake?
3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta?
4. Hampendi Mbwana Samatta?
5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC?
6. Anataka...
Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌
N:B KMC msirudie kuipeleka...
Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "
"Hakuna kama Samia "
Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
Je wajua?
Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti
Didier Drogba
Samuel Etoo
Mohamed Salah
The Blues updates🔵
Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.
Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania.
Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.