magoli

  1. JanguKamaJangu

    Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  2. U

    Magoli ya penalty kumnyima saido kiatu

    Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty. Makolo kilio kimezidi
  3. E

    Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

    Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
  4. L

    Morisson Bernard ana uwezo mkubwa wa kupachika magoli na ubunifu

    Bernard Morrison ana uwezo mkubwa wa kushinda magoli kushinda hata Mayele, believe kama akicheza Kwa angalau dakika 30 anaweza kuipa timu walau magoli mawili.
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Hongereni Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli

    Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni. Simba nawapongeza pia kwa kuwaheshimu Yanga na kuwafundisha Mpira wa kimataifa ulivyo.
  6. GENTAMYCINE

    Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

    Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland. Hapo...
  8. Allen Kilewella

    Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele. Hebu acheni mambo yenu!
  9. M

    Hii ni moja ya rekodi CAF: Yanga kufungwa magoli mengi zaidi kwenye hatua ya makundi champions league!

    Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998. Most goals conceded in group stage (single...
  10. F

    Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  11. SAYVILLE

    Tujadili ubora wa magoli ya Simba vs Horoya

    Kutokana na wingi wa magoli, naona hatujapata muda hasa wa kuyazungumzia vizuri ubora wa magoli waliyofunga Simba. Nimeona ni vizuri tulijadili hili. Kwa upande wangu nitazungumzia hasa magoli mawili. Goli la 6 ni moja ya magoli bora niliyowahi kuona timu ya Tanzania inafunga. Angalia wingi na...
  12. GENTAMYCINE

    Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
  13. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  14. B

    Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

    Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0. Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira...
  15. Mohammed wa 5

    UEFA: Erling Halaand afunga goli 5 wakati Man City ikiua goli 7

    Mchezaji wa Manchester City Erling Halaand atupia magori matano ⚽ kwenye hatua ya 16 Bora UEFA. Manchester city 7 -0 Rb Leipzg. Manchester City mabingwa wa UEFA 2022/2023🥇🏆save hii.
  16. J

    Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  17. Last Seen

    Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

    Kwanza niwapongeze wamanchi wenzangu kwa ushindi huu, Pili kwa vibunda tulivyoahidiwa kwa kila idadi ya goli 5M. Pili mayele ametufelisha sana leo, anachelewesha mipira, anataka kufunga magoli yeye kama yeye hata kama kuna nafasi ya kutoa pasi. Vionfozi wangu wa Yanga naamini mtamuelekeza...
  18. Execute

    Arsenal kufunga zaidi ya goli tatu dhidi ya Manchester City mchezo wa Februari 15

    Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
  19. NetMaster

    Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

    Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.
  20. Execute

    Arsenal itafunga zaidi ya magoli sita kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Man United

    Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita. Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
Back
Top Bottom