magoli

  1. Its Pancho

    Wanasimba teka letu la magoli tumepigwa

    Wanasimba wenzangu Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii.. Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..! Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu? Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni? Sasa huyu teka...
  2. JanguKamaJangu

    Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024. Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
  3. Mjanja M1

    Video: Magoli yote kwenye mechi ya Inter Miami Vs Al nassr

    Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu...
  4. JanguKamaJangu

    AFCON: Senegal yaingia Hatua ya 16 Bora wa kuipiga Cameroon magoli 3-1

    Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6 katika Kundi C ikiwa imesaliwa na mchezo mmoja. Magoli ya Senegal yamewekwa wavuni na Ismaila Sarr...
  5. Action and Reaction

    Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

    Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba ujue kuna limkono la mtu! The 🛑 🦁🦁🦁🦁🦁 #Nguvu Moya!
  6. SAYVILLE

    Mfanano wa magoli mechi ya Simba vs ASEC na ya leo ya Tanzania vs Togo

    Wiki chache zilizopita nilileta uzi mmoja nikihoji kwa nini matukio katika mechi za Simba msimu iliyopita na msimu huu yamekuwa yanafanana sana na yale ya Yanga pale timu hizo zinapocheza siku moja au siku mbili zinazofuatana. Leo tena katika mechi ya Tanzania vs Togo nimeshuhudia magoli mawili...
  7. JanguKamaJangu

    Manchester United yaipiga Everton magoli 3-0 katika Premier Leagu

    Ikicheza mechi ya kwanza tangu ilipokatwa pointi 10 kutokana na kukiuka kanuni za Fedha katika Premier League, Everton imeendelea kuwa na wakati mbaya kwa kuchapika magoli 3-0 kutoka kwa Manchester United. Waliopeleka furaha Man. U leo Novemba 26 ni Alejandro Garnacho, Marcus Rashford na...
  8. M

    FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

    Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa! Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote...
  9. yvee

    SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  10. Pdidy

    Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

    Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus Na mashabiki...
  11. JanguKamaJangu

    Harry Kane anazidi kung’ara, afikisha magoli 17 katika mechi 11 Bundesliga

    Straika wa Bayern Munich, Harry Kane ameendelea kuwa na mwanzo mzuri katika klabu yake mpya baada ya kufikisha magoli 17 katika Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundeslia) ndani ya michezo 11 Msimu wa 2023/24 na kuwa mchezaji wa kwanza kufikia mafanikio ya magoli hayo katika ligi hiyo. Amefikisha idadi...
  12. JanguKamaJangu

    Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na mazingira ya rushwa basi taarifa hiyo ikaripotiwe Ofisi ya TAKUKURU Temeke, Dar es Salaam. Awali, Mbunge...
  13. Execute

    Yanga alipata magoli mawili halali huku Simba ikipata moja leo pale kwa Mkapa

    Nilichokiona baada ya kuangalia marudio 1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi. 2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi...
  14. Teko Modise

    Luka Modric hajawahi kufikisha magoli 10 au Assist 10 kwa msimu katika Career yake

    Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo. Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha...
  15. Majok majok

    Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  16. ESCORT 1

    Ufupi wa Diarra unasababisha Yanga kufungwa magoli mepesi

    Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas. Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa kwa asilimia 98 ni ya juu. Huu ni udhaifu wake mkubwa sana. Yanga itafute kipa mzuri maana huko ligi...
  17. Lupweko

    Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

    Jedwali linajieleza, sihitaji kupotezea watu muda kwa maneno mengi:
  18. Sultan MackJoe Khalifa

    Ukweli usemwe Simba bila Chama inahangaika sana kupata magoli

    Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90. Chama hatocheza Simba milele ni lazima lifanyike jambo kurekebisha hili.
  19. benzemah

    ‪Ahadi ya Rais Samia kununua magoli kimataifa inaendelea‬

    Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea "Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
  20. Expensive life

    Goli la kwanza ndiyo huwa tamu kuliko magoli yote kwenye sex hayo mengine huwa ni mbwembwe tu

    Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza? Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima. Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
Back
Top Bottom