magoli

  1. Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

    Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji. Wanaomfuatia Jean Charles Ahoua ni Clement Mzize na Prince Dube ambao wote wana magoli magoli 10 kila mmoja. VINARA wa...
  2. Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

    Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
  3. Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  4. Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

    Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480] Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
  5. Magoli ya Mbappe aliyowapiga Man City yana-prove kwamba bado ni world class

    https://youtu.be/zpieZkvFnlE?si=35jBhPRwAJ3yx-CG Tunashukuru sana kwa kuwaburuza matapeli wa soccer.
  6. M

    Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

    Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia. Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube! Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
  7. Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

    Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
  8. Simba SC ikishinda Magoli ya Penati anachekwa iweje nao leo wanalilia kunyimwa Penati?

    Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa. Kudadadeki....!!!!!!!
  9. Pele na Magoli yake 1,000

    Najaribu kuwaza: Haya Magoli 1000 ambayo nimekua nikiyasikia toka midomoni mwa Kaka zetu, wajomba pengine wazee na vikongwe kuhusu Pele na Magoli yake 1000 ni Chai kongwe kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka ? Huku ndiko yalipotoka Magoli msiyoyajua kukamilisha Idadi ya Goli Mbombo Goli...
  10. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  11. M

    Gusa, achia kilio kwao inatesa watu mpira unachezwa kwa swaga na magoli yanafungwa!

    Hii ni gusa achia kilio kwao maana anafungwa fountain gate lakini kilio kinasikika upande wa pili! Graph ya Yanga inapanda kwa Kasi ya kimondo Kila mechi unaona tofauti ya kimbinu, kiuchezaji, na kiufundi, Ile Kasi itaziumiza timu nyingi zitachakazwa! Kabla ya mechi hizi 3 goal difference ya...
  12. Maxime na minziro ni yanga lia lia tutegemee magoli ya mchongo na mechi mbovu kabisa

    Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
  13. Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  14. Over 2.5 ina nafasi 90% kutoa magoli

    Siku nzuri kwa mashabiki wa betting! Timu zangu za Over 2.5 zimekamilika, na kwa odds tamu kama hizi, hatuna budi kutinga faida. πŸ€‘πŸ”₯ βœ… Code ya BetPawa: TP5HM5B βœ… Odds jumla: 5.52 βœ… Hakikisha unaweka kwa umakini ili kushinda zaidi! Je, upo tayari kutengeneza pesa leo? Maoni yako ni muhimu...
  15. Simba na magoli ya bahati na kichawi

    Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi? Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda...
  16. Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam. Kitaalam hiyo hutokana na nini?
  17. Magoli waliyopigwa Yanga kwa kiarabu

    Huyu mwarabu anajua kunata na biti
  18. Dube na Aziz Ki kuanza kutupia magoli. Wazee wameshamwelekeza Dube na kumtengeneza

    Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu. Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu yake na mwenzie Baleke. Hawa jamaa watatupia magoli mpaka amshangae. Lazima wafungaji bora wawili...
  19. Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
  20. POTOSHI Wachezaji Hawa hawajafunga magoli tangu wanacheza mpaka wanastaafu

    Wakuu nimekutana na hii post, ina ukweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…