Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro.
Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro. Na Matombo (yaani matiti ya mwanamke), ni sehemu ya milima iliyopo Wailaya ya Gairo...