Magomeni is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 22,616.
Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii.
Utafuatilia Matangazo haya ya moja kwa moja kupitia Televisheni, Radio na Mitandao ya Kijamii.
#TunaImaninaSamia...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.
Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.
Ujenzi wa majengo ya...
Bar Maid wengi sio wameingia katika kazi hii kwa kupenda hii ni kazi kama kazi nyingine, nina mifano mingi sana marafiki na ndugu zetu wamepata wenzao kupitia hawa Bar Maid.
Siku mbili hizi nilibahatika kwenda Magomeni Usalama pale kuna wauzaji wa magari ya mkononi. Nikatia timu Bar inaitwa...
Kutokana na tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuunguza kila kitu. Kwa wale wanaojua hilo eneo liko umbali wa mwendo dakika pungufu ya 10 TUkutoka makao makuu ya jeshi la zimamoto Tanzania na ukizingatia leo ni jumapili hakuna foleni, nyumba zilizoungua ziko barabarani kweupe...
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31.
Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini.
Ana miliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 350 TSH, pamoja na magari ya kifahari ya thamani...
Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there.
Awali ya yote naomba Ku declare interest.
I am a Muslim but an open minded one .
Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote.
Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955
Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la Kariakoo kwa ajili ya umbali baada ya kuhamia Magomeni Maduka Sita kwa msaada wa Ali Msham aliyekuwa...
Habari wadau..!
Maisha kweli ni fumbo, mpaka leo sijapata kujua undani wa familia ile ya kifahari pale Magomeni Mwembechai.
Kuna siku nilikuwa na project maeneo yale ya Magomeni nilifika site lakini nikajikuta kuna baadhi ya vifaa vya kufanyia kazi sikubeba. Hivyo nikaona sio kesi ngoja...
Used Simtanks mbili za Lita 5000 Kila mmoja yanauzwa Magomeni Mikumi. Kila mmoja linauzwa kwa 250,000. Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0687320462 au 0693890769.
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo magomeni wakati wa kudai uhuru?
Nyumba hiyo ipo magomeni imekuwa kama nyumba ya mkumbusho ukienda hayo...
Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...
Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji .
Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.