magomeni

Magomeni is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 22,616.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  2. Boss la DP World

    Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  3. Mohamed Said

    Magomeni Kwa Zito Usiku

    MAGOMENI KWA ZITO USIKU Miaka ya 1970 kulikuwa na mgahawa Magomeni Mapipa si mbali na hoteli ya Butiama ukiitwa Michuzi Mikali. Mwenye mgahawa huu jina lake lilikuwa Shomvi na alikuwa shabiki mkubwa sana wa Yanga. Yeye alikuwa anafungua mgahawa wake mchana kwa ajili ya chakula cha mchana...
  4. Crucifix

    Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  5. mdukuzi

    Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  6. Mohamed Said

    Ali Msham, Julius Nyerere na Wanachama wa TANU Tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954

    ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
  7. B

    Lipumba yuko Magomeni leo, kulikoni baridi hivi?

    Leo Prof. Lipumba atakuwa na jambo lake Magomeni. Kulikoni wapambe wamemtelekeza? Hata timu nzima ya chawa wazamivu nayo baridi! Kulikoni Jilala, Country , Mtambuka, joni inakuwa je sasa?
  8. Mbunge Afrika Mashariki

    CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  9. peno hasegawa

    Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  10. Tengeneza Njia

    Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

    Nimesikia ndugu zetu wapangaji wa nyumba za Magomeni wanamuomba Mh. wauziwe nyumba zile kwa Tsh 17M? Kweli? Serikali imesema itawauzia kwa Tsh 48M (chumba na sebule) na 56 + (kwa nyumba kubwa), na hii inalipwa kwa muda wa miaka 15. Piga mahesabu yako vizuri kwa huyu atakaye lipa 56+...
  11. Mr Dudumizi

    Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri. Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
  12. Mbunge Afrika Mashariki

    Prof. Lipumba kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco (stendi ya mwendokasi)

    PROF.LIPUMBA Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi) CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni...
  13. J

    Kama TLP ina ghorofa Magomeni, CUF inalo Buguruni na NCCR walikuwa nayo Bunju. Nashauri Wana-CHADEMA kuhakiki mali zenu sasa

    Kama Vyama hohehahe kama akina TLP, akina CUF na NCCR wamemiliki mashamba na Maghorofa ni wazi Chama cha mabepari Chadema kinamiliki mali nyingi. Hata CCM kama siyo yule Shujaa hadi leo tusingejua kama Channel ten ni mali ya chama pamoja na ile kampuni ya Simu za mikononi inayomiliki 40% ya...
  14. JanguKamaJangu

    Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

    Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone Inasomeka hivi... Waheshimiwa Mapadre Wote, Jimbo Kuu la Dar es...
  15. Mohamed Said

    Ali Msham muasisi wa tawi la kwanza la TANU Magomeni Mapipa 1954

  16. hp4510

    Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
  17. Mohamed Said

    Historia ya Ali Msham, mwalimu na mama Maria Nyerere Magomeni Mapipa 1954

    Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu. Tafadhali isikilize historia yake:
  18. M

    Yanga SC mlipeni yule Mganga wenu wa kutumia Njiwa Uwanjani halafu mwambieni Mayele kwa yanayompata amlaumu Dada wa Saluni Magomeni Mapipa

    Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake. Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
  19. kavulata

    Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  20. P

    Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake. Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
Back
Top Bottom