Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha.
chondechonde tusiingie kwenye mtego huu.
Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha ukayaacha maji hayo kuyeyuka na kuwa liquid, bado yanakuwa si salama kwa kunywa kama ambavyo yangechemshwa...
Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa, coffee
Energy drinks. Carbonated milk
Carbonated drinks. Kiti moto
Spirits...
Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni:
1. Msongo wa Mawazo (Stress) na Wasiwasi (Anxiety)
Kubeti kunaweza kusababisha wasiwasi mkubwa kuhusu...
Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
===============
Moderator Active Naomba title isomeke "Je, ni kweli soda na vinjwaji vya energy vinasababisha saratani?"
Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai kwamba magonjwa mengine hutengenezwa maabara kwa malengo maalum, kama vile udhibiti wa idadi ya watu...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu.
Kusoma andiko la...
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
Afya ya akili ni miongoni mwa mada zinazopuuzwa, zisizozungumzwa vya kutosha, pia zenye wataalamu wabobezi wachache sana kwa Tanzania. Lakini pia ni mada ngumu kuzungumzwa kutokana na kukosa uelewa sahihi kwa sababu jambo hili huchukuliwa juu juu pasipo upembuzi wa kina.
Mtaalamu mmoja wa...
Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie.
Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo.
Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya...
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:
1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?
Kutegemea Umri...
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu
Chanzo cha picha,iStock
9 Februari 2019
Imeboreshwa 28 Disemba 2020
Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao.
Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.