Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao.
Jopo kubwa linalolengwa na wahubiri ni wanawake.
Ukitazama Television nyingi wanashuhudia kujibiwa maombi na Kuna kua na...
Majina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya.
Profesa amekua mtafiti mkuu wa majaribio ya chanjo ya VVU (HIV Trial vaccine), Amehudumu kama daktari bingwa...
Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa.
Haya mambo...
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine.
Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87.
Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA
Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini.
Akizungumza leo October 4, 2024 katika mafunzo na Wanahabari yaliyoratibiwa na Kitengo Elimu ya Afya kwa Umma kuhusu...
Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa Septemba 29 kila mwaka tangu ilipoanzishwa na Shirikisho la Moyo Duniani (WHF) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 1999.
-
Siku hii hulenga kuongeza uelewa kwa Watu kushirikia katika kuzuia, kupima afya mara kwa mara na kubadili mtindo wa...
Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu.
Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
Ilikua siku ya ijumaa kuamkia jmosi, kjana nikavuta pisi moja ina makalio makubwa hivi bas bhana ikafika home tukapiga story mbili tatu kama mnavyojua kweny jinsia mbili bas tendo la faragha likaanz
Nakumbuka niliweka album ya kondeboi ile Afroeast had ikaisha then nikaweka ya westlife nayo...
Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu.
Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k.
Utunzwaji...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili.
Nini kinasababisha yote haya?
Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu?
Au kulea ugonjwa...
Habari wakuu,
Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi).
Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu.
Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment...
Denis Mpagaze
1. Haya matunda watu wa Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe wanayaita masongwe; wahaya, wanyambo na waganda wanayaita tuntunu!
2. Waha, warundi na wanyarwanda wanayaita intumbaswa! Kongo wanayaita mbumba, wasangu wanayaita manjangu, wakurya na wazanaki wanayaita ichintonono!
3. Kwa...
Habari za wakati huu wanajamvi,
Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka kupelekea kukosana kabisa na ndugu zake. Naulizia kwa hapa Dar es salaam ni sehem gani ninawea pata...
Salaam wakuu!
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu?
NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.