Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati yakiwa ndiyo kitu cha pekee wanachokihitaji. Kuna watu waliouza kila kitu, wakakimbilia hospitali...
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika.
Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷
1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na...
TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini.
Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732.
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine.
Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
Hawa ndugu wa Janabi kuna wakati wanazingua balaa. Yaani kila mtu anajitokeza na kusema tusile hili wala tusile kile. Nimekuta huyu mmoja huko Twitter anadai tusile ugali, wali na kitu chochote kinachotokana na ngano. Kama vipi ifike sehemu waseme tusile kabisa kama kila kitu hakifai.
Kaandika...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza.
Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo.
Pamoja na jitihada za serikali kuboresha huduma eneo la magojwa hayo kwa kutoa msamaha wa matibabu kwa baadhi...
Watalam wamebaini kua hewa chafu inachangia matatizo ya akili hii imebainika kwa tafiti iliyofanyika India
---
Hewa yenye Sumu Inaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili. Hivi ndivyo Jinsi inavyo athiri
Kwa muda mrefu, tumezungumzia jinsi uchafuzi wa hewa unavyoathiri afya yetu ya kimwili. Lakini...
Magonjwa yasioambukizwa sio jambo geni masikioni mwetu, shuleni tumesoma baadhi ila kwa juu juu sana. Magonjwa yaliyopewa kipaumbele ni magonjwa ya kuambukiza, elimu yake imekua ikitolewa mpaka mtaani. Lakini kadiri ya siku zinavyosonga magonjwa yasioambukiza yamezidi kujinafasi na kua hatari...
Kwanini asilimia kubwa ya madaktari siku hizi hawatoi taarifa za ndani kuhusu ugonjwa, kama jinsi ya kujikinga na Chanzo cha ugonjwa.
Wamekuwa wakitoa dozi tu wakati mwingine hata tatizo hujuzwi vizuri
UTANGULIZI
Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa yasiyoambikizwa yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania. Vifo 32 kati ya 100 duniani kote...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza.
Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na janga kubwa sana la magonjwa yasiyoambukiza, hasa inawapata watu ambao umri unaenda.
Watu wanahangaika na kisukari, shinikizo la damu, kansa, figo, ini na magonjwa mengine yanayotokea na ulaji mbovu au life style mbovu ya maisha yetu.
Nina rafiki yangu...
Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu).
Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
Habari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia...
Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya
Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
"Sehemu kubwa ya jamii yetu tuliyoipata idadi kubwa ni uzito uliopitiliza ukilinganisha na wale ambao uzito upo chini, na sababu kubwa ya wale ambao uzito upo chini wengi ni kwa sababu ya upatikanaji wa vyakula vya makundi yote lakini wengine ni kuchagua kuacha kula baadhi ya vyakula vya makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.