magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  2. E

    Serikali na Wizara ya Afya ninaomba "FUKIZA KILA KAYA", kampeni maalumu ya kutokomeza magonjwa ya milipuko

    Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine. Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
  3. J

    Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana. Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani. Ndipo...
  4. D

    Najiuliza ni lini magonjwa mengine yaliacha kuua? Mbona kila kifo sasa ni Corona?

    Najua tumepoteza wandugu wetu kadhaa kutokana na ugonjwa huu wa COVID-19. Mungu awarehemu marehemu na atupe faraja wafiwa. Lakini najiuliza kwanini kila kifo kinachotokea sasa kinahusishwa na Coronavirus, hasahasa kikitokea kwa watu mashuhuri. Naamini watu wengi mashuhuri waliokufa kabla ya...
  5. Mung Chris

    Kwanini waganga wakubwa na wachawi wa kike kwa wakiume hawakosi magonjwa makubwa na ni maskini sana

    Nimejiuliza sana, kati ya waganga nilio wahi kuwafahamu au kuwatembelea na wale ambao marafiki zangu wachache wali wahi kuwaona hakuna ambaye nimewahi kutana naye ambaye hana magonjwa makubwa kama Presha, HIV, au kwa wanawake wana matumbo makubwa utadhani ni wajawazito, na ni maskini sana...
  6. Return Of Undertaker

    TACAIDS: Wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya UKIMWI wamejitoa

    Moshi. Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa. Taarifa hiyo imetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Leonard Maboko kwenye ufunguzi wa wiki ya Ukimwi duniani uliofanyika viwanja vya Shule ya...
  7. beth

    Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  8. Miss Zomboko

    Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
  9. kindikinyer leborosier

    Nini tiba halisi ya magonjwa ya kisaikolojia na akili?

    Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku! Nawezaje kupata msaada wa matibabu/uchunguzi wa magonjwa ya akili!? Natanguliza shukrani
  10. M-pesa

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU KILIMO HIKI: Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo: 1) Mbegu bora zinapatikana wapi? 2) Zinachukua muda gani kukomaa? 3) Masoko yake yako wapi? 4) Bei ya kuuza inakwendaje? Asanteni. === --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA...
  11. Analogia Malenga

    Virusi vya Corona: Kuna hofu ya kuongezeka kwa magonjwa kutoka kwa wanyama hadi kwa wanadamu

    Magonjwa yanayotoka kwa wanyama na kuhamia kwa wanadamu yameongezeka na yataendelea kuongezeka iwapo wanyama pori hawatalindwa mbali na kuhifadhi mazingira, Wataalam wa Umoja wa Mataifa wameonya. Magonjwa yanayotoka kwa wanyama hadi kwa binadamu ambayo hupuuzwa huuwa watu milioni mbili kila...
  12. Chizi Maarifa

    Hili ni Somo kubwa nililojifunza kuhusu Corona. Litatusaidia kwa magonjwa mengine pia

    Corona ni pepo/jini tu linataka kutambulika na kuabudiwa. Linapenda sifa. Ukilidharau lina mind sana na kuona halina tena nafasi liliyotaka. Kipindi kile Corona tumeanza kuiabudu na kuiogopa ilitaka kuanza kutikisa.kumbe dawa yake ni ndogo sana ...kuidharau tu na kuendelea na maisha mengine...
  13. Timtim

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  14. Cannabis

    Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  15. R

    China na historia mbaya ya kueneza magonjwa duniani (pandemics): The case of Bubonic Plague

    .... imeandikwa kuwa the Black Death ambayo iliua karibu 60% ya watu duniani ilianzia China. The Black Death: What Bubonic Plague Reveals About COVID-19 Coronavirus Pandemic The so-called Black Death, or pandemic of the Middle Ages, began in China and made its way to Europe, causing the death...
  16. Jile79

    Yafahamu magonjwa 20 ya mlipuko mabaya zaidi katika historia ya dunia

    Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
  17. M

    Wanatupotosha tena, wanaokufa na Corona wakiwa na magonjwa mengine hawafi na Corona

    Wanadai wagonjwa wa magonjwa mengine wakipata korona wanakufa na magonjwa hayo siyo korona, kama kisukari, moyo, saratani n.k. Lakini duniani kuna hata watoto walio fit bila magonjwa mengine, wamekufa na korona, kuna watu wazima wenye Afya zao wamekufa na korona. Kwa madai yao wanatupotosha...
  18. Pritty wa joseph

    Magonjwa ya kuku na tiba zake

    MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE UTANGULIZI Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu ambayo huzuia magonjwa hayo.Leo nitawaeleza baadhi ya magonjwa ambayo hushambulia kuku mara kwa...
  19. Ronee

    Magonjwa ya watoto

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa hospitali (doctor) nzuri kwa magonjwa ya watoto specifically ya ngozi kwa dodoma. Ahsante
Back
Top Bottom