magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thisisahmadiya

    Usafi wa mazingira na binafsi husaidia kupunguza magonjwa ya kitropiki

    Mazingira safi ni dawa, mazingira safi ni tiba, hutufanya kuishi Kwa amani mbali na magonjwa. Ni jambo la kushangaza, ya kwamba mwanadamu ni mzalishaji wa taka lakini si mwepesi wa kuziondoa taka hizo. Magonjwa mengi hutokana na hali duni ya usafi wa mazingira na wetu binafsi. Kusafisha...
  2. Penny

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  3. L

    Haja ya kurekebisha baadhi ya sheria ili kuongeza ufanisi wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko. Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
  4. King Loto

    Wakuu Nafikiria Kupima Daaah

    Wakuu! Tumbo liko moto wakuu nafikiria kupima HIV tena kwa mara nyingine tena daaah yaani haya mambo siyo poa kabisa. Daaah hii ni baada ya sababu fulani fulani toka kwa shemeji yenu. Damu unaiona ina pita shaaaa mara mistari 😅 aseee sijui nani alileta huu ugonjwa. Tangu jana najisahula kama...
  5. J

    Yajue magonjwa yanayozuilika kwa chanjo kwa watoto (Sehemu ya Kwanza)

    Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hivyo hewani na huweza kumwambukiza mtu mwingine. Ugonjwa huu unakingwa kwa chanjo ya kifua kikuu...
  6. Analogia Malenga

    Magonjwa yasiyoambukiza huchangia theluthi mbili ya vifo

    IMEBAINISHWA kuwa magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, saratani, moyo na mfumo wa njia ya hewa husababisha theluthi mbili ya vifo duniani. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afya ya Jamii na Lishe wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dk.Ray Masumo wakati akifungua semina...
  7. beth

    WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  8. M

    Wamachinga waondolewe kando ya barabara kuepusha magonjwa ya milipuko na ajali za barabarani

    Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
  9. mama D

    Furahia kila pumzi ya uhai wako na mshukuru Mungu kwa mambo yote yanayokufurahisha na yale yasiyokufurahisha yapishe kuepuka magonjwa yasiyoambukiza

    Nilikua napitia report ya afya nimesikitika kuona 34% ya vifo nchini hutokana magonjwa yasiyoambukiza na ugonjwa wa moyo ukiongoza. Magonjwa mengine sukari na cancer ambayo tunayaona yanavyozidi kutuvamia kwa kasi. Kwa tafakari ndogo maisha tunayoishi yamechangia hili kwa kiasi kikubwa...
  10. B

    Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  11. Red Giant

    Kuchambia maji kunachangia kwa magonjwa kwa kiasi kikubwa sana? Turudi kwenye magunzi na majani.

    UTI asilimia kubwa ya wadudu (e.coli) wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati...
  12. Sky Eclat

    Kushirikiana taulo ni chanzo kikubwa cha maambukizi ya magonjwa ya ngozi

    Unakuta mtu anamtembelea rafiki yake, akitoka kuoga anakuta taulo kwenye kamba analichukua na kutumia, utamsiki “huyu wangu sana “. Watoto wakiwa boarding school, taulo linaweza kula vichwa vitatu bafuni. Hata hizi hotelini kama unaweza safiri na taulo lako. Fikiria hoteli haina mashine ya...
  13. Roving Journalist

    Waziri wa Afya: Epukeni misongamano isiyo ya lazima, vaeni barakoa safi na salama

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYOAMBUKIZA NCHINI Dodoma, Jumatano 24 Februari, 2021. Ndugu Wananchi, kila mwaka kipindi...
  14. J

    Jikinge na magonjwa yanayoambukiza

    Safisha kwa kupaka Sanitaiza maeneo ambayo hushikwa mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama Korona. Maeneo hayo ni pamoja na meza, vitasa vya mlango, swichi ya umeme, madawati, simu, kicharazio cha kompyuta (keyboard), vyoo, koki ya bomba, na sinki
  15. Sky Eclat

    Wanandoa wanapopishana umri kwa miaka mingi changamoto za magonjwa ya uzeeni zifikiriwe

    Msemo wa age is just a number ndiyo habari ya mjini. Babu wa miaka 70 anafunga ndoa na binti wa miaka 25. Au bibi wa 55 anaolewa na kijana wa 35. Mwanamama mtunzi wa vitabu aitwae Jacque Collins aliwahi kusema tofauti ya umri kati ya wanandoa ikiwa kubwa sana mara nyingi mmoja wapo kati...
  16. B

    #COVID19 Corona yapunguza maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa

    Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni. Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza kutumika kwenye mchakato wa tendo ni mdomo. Tishio la corona limewaweka watu mbali, limewafanya baadhi ya...
  17. J

    Jikinge na magonjwa yanayoathiri mfumo wa upumuaji kwa kuvaa barakoa

    Mfano ya wakati barakoa inahitajika kuvaliwa: Unapotembelea duka, duka la dawa, Daktari au Hospitali yoyote Katika mkusanyiko, unapokutana pamoja na marafiki au familia ambao hawaishi nawe Katika tukio lolote la umma ndani au nje ya jengo, kama vile soko au mkusanyiko Unaposafiri kwenye...
  18. J

    Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Chukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoambukiza

    Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu. Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema. Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano. Mungu wa mbinguni...
  19. Kurzweil

    Jikinge dhidi ya kikohozi, magonjwa ya mapafu na mafua

    Epuka moshi kutoka kwenye moto wa kupika kwasababu una vitu vidogo ndani yake ambayo vinaweza kuingia kwenye mapafu na kusababisha ugonjwa Epuka moshi huo kwa kupikia nje au mahali penye hewa safi ambayo moshi unaweza kuingia na kutoka Kuna aina ya viini vinavyoitwa bakteria na vingine...
  20. B

    Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

    Mabibi na mabwana hali inaendelea kuwa si hali. Sisi tulio hatarini sauti zetu lazima zisikike. Kwa mwelekeo uliopo ndiyo tumeshatolewa kafara hivyo. Jana tumemzika kigogo wa BOT (Joachim Sayi Nsunga) RIP, huko Dutwa Bariadi, Simiyu. Huyu bwana alikuwa mhasibu mkuu BOT makao makuu, Dodoma...
Back
Top Bottom