Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi.
Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana.
Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention - CDC).
Ni kwanini vimelea ni viumbe hatari sana?
Kiini ni kiumbe kidogo sana kinachoweza kusababisha...
Watu ambao wameambukizwa COVID-19 zaidi ya mara moja, wana uwezekano mara mbili au tatu zaidi, kuwa na matatizo mengi ya kiafya kuliko wale ambao wameambukizwa mara moja tu, ripoti ya utafiti mkubwa wa kwanza juu ya suala hilo ilisema.
Maambukizi mengi yameongezeka huku janga hilo likiendelea...
Imeelezwa kuwa kila vifo 33 kati ya 100 vinavyotokea nchini vinasababishwa na magonjwa hayo na robo 3 ya wananchi hawajitambui kuwa wana tatizo hilo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe amesema Mjamzito mwenye Magonjwa hayo yupo hatarini kujifungua watoto wenye...
Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030 kutakuwa navisa visivyopungua million 23.7 vya vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo na mzunguko wa...
Magonjwa ya kuhara husababishwa na vimelea vya aina mbalimbali.
Vimelea vya Rotavirus huchangia kwa kiwango kikubwa katika magonjwa ya kuhara kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano. Kwa Mujibu wa Takwimu za WHO, zaidi ya Watoto 525,000 Duniani wenye Umri chini ya Miaka 5 hupoteza...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA), Profesa Andrew Swai amesema magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kusababisha vifo vingi nchini ikilinganishwa na miaka ya 1980.
Kutokana na ongezeko hilo, Serikali imetangaza mpango wa kuanza...
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
Inashangaza kusikia NHIF ikilalamika kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs) yameongezeka sana, gharama ya matibabu yake ni kubwa sana na yanafilisi mfuko. Na kwamba NHIF inakusudia kuacha kugharimia matibabu ya magonjwa haya yasiyo ya kuambukiza.
Kama tetesi hizi ni za kweli, basi hakuna...
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF.
Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA
Ni aina ya magonjwa ambayo hayawezi kusambaa kutoka Kwa mtu moja kwenda kwa mwingine.
Mfano; magonjwa ya moto, saratani(cancer), Pumu, kisukari n.k
Ni kweli tafiti nyingi zimefanywa na kugundua kunabaadh ya haya magonjwa yanakuwa ya kurithi, pia kunasababu ambazo...
Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu.
Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA.
Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
Paraphilias
Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto
Aina za paraphilias.
1 fetishistic
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa.
Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
Kwa mujibu wa ripoti ya WHO, magonjwa yasiyo ya kuambukiza huua Zaidi ya watu milioni 41 kila mwaka, hii ni sawa na asilimia 71 ya vifo vyote vinavyotokea duniani.
Magojwa ya moyo na mfumo wa damu ndiyo huongoza kwa kusababisha vifo ikifuatiwa na saratani, magonjwa ya mfumo wa fahamu Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.