magufuli

  1. Kiranja Mkuu

    Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  2. Kabende Msakila

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana. Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up)...
  3. S

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    “MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.” Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado...
  4. JF Member

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu. Treni Dar...
  5. A

    Serikali na CCM wameadhimisha wapi Kifo cha Magufuli?

    Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi...
  6. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  7. KING MIDAS

    Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Binafsi taarifa za msiba wa Rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa. Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC...
  8. 2 of Amerikaz most wanted

    Tanzania's former John Pombe Magufuli

    Rejected a $10 billion loan from China He didn't go on state trips outside Africa during his term as President of Tanzania He reduced the cabinet's size from 30 to 19, which worked more effective. He Introduced free Education from Primary to Secondary School He believed in the unity of...
  9. Melvine

    Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

    Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa? CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
  10. Barca

    Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  11. R

    Geti la Airport lliivunjwa wakati wananchi wakitaka kumuaga Hayati Magufuli

    Salaam, Shalom, Baada ya tarehe 17 march 2021, Mh Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo Cha HAYATI Magufuli, Nchi ilizizima. Binafsi, nilikuwa naendelea kufuatilia tetesi za kifo hicho baada ya taarifa nyingi kusambaa kutokana na ufinyu wa taarifa sahihi. Ilipothibitishwa taarifa hiyo, simanzi...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko: Rais Samia anaenzi maono ya Hayati Magufuli kwa vitendo ikiwemo kutekeleza Miradi mikubwa

    Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara na madaraja makubwa kama vile Daraja la Kigongo - Busisi yametekelezwa na yanaendelea...
  13. J

    Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  15. M

    KERO Ukilipia kuingia Magufuli stendi wanarudisha chenji nusu kwa kigezo cha "hatuna chenji"

    Ni mchezo mchafu wa wanaotoza hela kwa wanaotaka kuingia Magufuli stendi, ni mara kadhaa kila nikifika pale ukiwa na sh. 500 au 1000 nk watakwambia hawana shilini 100 au 200. Mara nyingi wanafaya mchezo huo wakati kukiwa na msongamano wa foleni wanakwambia uchukue chenji nusu au wakurudishie...
  16. Mwande na Mndewa

    Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  17. Nehemia Kilave

    Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  18. Magufuli 05

    Hayati Magufuli: Mimi sikuja kutafuta wachumba, nimekuja kufanya kazi

    Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai. U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri. Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024 tunapoadhimisha siku yako rasmi ya kuitwa katika makazi ya milele, majonzi na huzuni hutawala...
  19. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  20. SYLLOGIST!

    Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
Back
Top Bottom