Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;
Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo;
Naomba bunge...
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
Habari JF, vita ya Uchumi kuanzia mitaani, mirathi na makazini hata iwe ndogo haijawahi kuwa nyepesi na haijawahi acha mtu salama.
Ukiwa kiongozi wa juu nchi za Africa huwa hakuna vita nyepesi ya uchumi sababu unakuwa unapigana watu wa ndani ya nchi lakini pia na mataifa ya nje.
Magufuli...
Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je...
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine.
Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond.
2. Tatizo hili limedumu kwa...
Habari wanajamvi?
Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.
Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.
Kuna mama alikuwa anadai...
"Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka.
"Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo...
Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7
Mafarisayo na Masadukayo Sasa hivi wameshindwana nyama ya wajanja huwa haiiivi
Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi.
Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni.
Mbona hayati Magufuli alipinga haya?
Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma.
Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli?
Mama amefeli
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli
Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi
hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo?
Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . =================================================
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni...
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote.
≠============...
Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa
Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli?
Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.