Unafiki wa Watanzania ndio hapa, hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko. Vitu vimepanda bei zaidi ya mara tatu ya enzi za Magufuli ila watu kimyaa!
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi...
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni.
Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao...
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda...
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli.
Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe:
Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe!
Magu alikuwa anafanya ziara za kushtukiza pale TPA na kila mara kukuta flow meter imechezewa, yaani watu wanajichotea mafuta na...
Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi.
Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani
Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
Salaam, Shalom!!
Naomba tu kujua, Shujaa wetu, mchapakazi, mpenda watu, mthubutu, mzalendo Magufuli aliwakosea nini?
Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa kwa muda mfupi ni kosa?
Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?
Ikiwa ni Kuna...
Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli.
Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent!
Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi.
Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021.
Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
hanang
hata
jambo
kassim majaliwa
magufuli
majaliwa
majukumu
makamu
makamu wa rais
mochwari
mpango
mzima
ofisini
philip mpango
premier
rais
raisi
serikali
tayari
wahanga
wakati
wapi
waziri mkuu
yuko
yuko wapi
Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
KWENU WIZARA YA UJENZI, TANROAD NA TARURA pamoja na Mbunge wa Kibamba
Awali ya yote niwashukuru kwa siku za nyuma kwa namna mlikua mnaisimamia barabara hii kwa ukarabati wa mara kwa mara. Kwa sasa hali ya barabara hii ni mbaya sana kutoka Mpiji magohe CCM hadi mbezi ni 10KM tu lakini kwa gari...
Ngurdoto ilikua/ipo chini ya The Impala Group of Hotels (IGH) ambayo ilikua ina jumuisha Impala Hotel (Arusha), Impala Hotel (Moshi), Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha), Naira Springs Hotel (Arusha), Impala Shuttle Services (Arusha) na The Classic Tours and Travels.
IGH ilikua inamilikia na...
Salaam Shalom,
Enzi ya Magufuli, Ukiwa na kitambulisho cha matching guy cha 20,000 Kwa mwaka, TRA Wala Jiji walikuwa hawakusogelei ukiwaonesha.
Ndipo nikajua kuwa, Watanzania wanapenda kulipa Kodi inayoendana na uwezo wao.
Ndugu yule, alifanikiwa kukusanya pesa nyingi sana Kwa mfumo Rahisi...
JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI?
Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.