Katibu mwenezi akiwa ziarani mkoani geita kasema hivi!
Yeye siyo mnafiki kama CCM wengine waliomsaliti Magufuli na kumkana, Yeye Paul Makonda kasema Magufuli ndiye kiongozi wake ambaye hatoweza kumsaliti hata kama atawekewa bastola kichwani"
HAYO MANENO KAYATAMKA Mbele ya umati, pia kaenda...
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .
Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .
Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.
Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche...
Nyuki wa mama mpo?
Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu.
Mioyo...
CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR
Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
John Magufuli, the late president of Tanzania, made significant investments in the country's ports during his time in office. He saw ports as a key driver of economic growth and development, and he was determined to make Tanzania a regional trade and transport hub.
These investments have led to...
John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his government, and he also implemented a number of policies that helped to improve the country's road...
President John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including:
Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line that will eventually connect the Indian Ocean port of Dar es Salaam with Mwanza on Lake Victoria and...
Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
Courtesy: Ansbert Ngurumo with SK Media Online TV
====================================================
Kwa muhitasari:
✍️Ansbert Ngurumo anasema, Paul Makonda anakwepa kutoa dira na nini atakifanya kwa kuzingatia majukumu yake ya kikatiba Kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi - CCM na...
Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hotuba zake.
Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa...
Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki.
Ubalozi wa Marekani ulimtaja kwamba ni mtu hatari zaidi nchini Tanzania kwa uhai wa wasio na hatia. Wakamuondolea hadhi ya yeye...
Tangu aondoke JPM duniani hakuna team JPM ilikua na amani lakini nawahakikishia kila Team JPM leo moyo wake utalala na amani kubwa sana.
Uteuzi wa Makonda Umeibua vigelegele na shangwe sio za kawaida mioyoni mwa Team JPM.
Hakika Mama amejua kugusa Mioyo ya Watu, Kwa Shangwe hili sipati tabu...
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.
Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.