magufuli

  1. benzemah

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini. 2...
  2. OC-CID

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  3. OC-CID

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  4. Diwani

    Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

    Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu. Ni nini mzizi wa haya yote? Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
  5. kyagata

    Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  6. Ileje

    Samia kama Magufuli wakuu wa wilaya na ma-DED roho juu!

    Rais Samia amewatimua kazi DC na DED wa wilaya ya Mtwara baada ya wananchi wa kata moja kurudisha kadi za CCM kwa sababu ya kuhamisha mradi uliokuwa ujengwe kata hiyo kuhamishiwa kata nyingine kisa uwepo wa wanachama wengi wa vyama vya upinzani. DC na DED walihamisha mradi wa maendeleo...
  7. Fortilo

    Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  8. Kingsmann

    Sakata la DP World: Kamati ya Bunge Yaahirisha Kupokea Maoni ya Marekebisho ya Sheria za Maliasili ikitaka Ufafanuzi wa Serikali

    Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini tubadili sheria inayolinda maliasili kwa ajili muwekezaji mmoja tuu? Ina maana akija muwekezaji...
  9. B

    Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  10. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  11. J

    Mtanzania ahoji Rais Magufuli angekuwa hai Kikwete angesema hayo?

    Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World. "Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
  12. Pang Fung Mi

    Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

    Wasalaam JF, Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World. Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
  13. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  14. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  15. assadsyria3

    Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  16. GENTAMYCINE

    Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  17. mdukuzi

    Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  18. Nigrastratatract nerve

    Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

    Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote yaweza...
  19. Nsanzagee

    CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  20. Magufuli 05

    Upinzani tulizeni akili, 2025 mnachukua nchi. CCM hawana cha kutuambia zaidi ya miradi ya Magufuli

    Nina amini kwamba CCM hii imechoka Imechokwa CCM hii na Ile ya awamu ya nne ni baba mmoja mama mmoja. kila kona ya nchi wananchi wanalalamika bidhaa kupanda bei. Hakuna mtu wa kuwatetea. kiongozi mkuu ndo kabisa kachokwa ni vile nidhamu inawaongoza Watanzania. Lakini wanatamani hata kumpigia...
Back
Top Bottom