Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
Chondechonde mama, hao wafanyabishara wanaokushauri wanakupoteza. Kwenye uchumi wa kibepari mfanyabiashara anaangalia faida yake tu, sio wajibu wake kulinda maslahi ya nchi au mtu mwingine yeyote. Ni wajibu wa serikali kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya maslahi ya wafanyabishara.
Kwasasa watu...
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.
Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini!
Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na mtu awaye yote kwa sababu ya dini yake
Inapotokea kiongozi yeyote anakuwa kinyume na sheria za nchi...
Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja.
Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili .
Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa mwanaume mmoja alisukumwa na mwanaume mwenzake. Yule mwanaume alidumbukia ndani ya bwawa na kwa bahati...
Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri".
Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa.
Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM
Wanasheria na wanasiasa wanafuata
Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona...
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.
Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.
Chato...
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi?
Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
Nafahamu fika Hayati John Magufuli hatarudi duniani. Hata hivyo, kulingana na wanavyomjadili wabaya na wapenzi wake na yale yote mazuri na mabaya aliyotenda kama binadamau, bado tuko naye kiroho kama siyo kihistoria.
Katika kuwa-assess viongozi wetu walio hai ili wajue hisia zetu na...
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania ..
Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM .
Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ...
Habari jf ,
1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni .
Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia.
Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.