magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Malezi ya mzazi mmoja ni magumu sana, wahenga walilitambua hili

    Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu wasipate tabu pia kuwe na mtu wa kuwafunza nidhamu na maadili katika jamii. Sababu jamii ikikua inaishi...
  2. Mhadhiri TUDARCo ashtaki na Kudai fidia kwa kutengenezewa mazingira magumu ili aache kazi

    Mmoja wa waanzilishi wa kitivo cha Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini, Dar Es Salaam (Tudarco), Dk Lucas Kamanija anakidai chuo hicho fidia ya Sh130milioni, akidai kutengenezewa mazingira magumu yaliyomsababishia aachishwe kazi chuoni hapo. Dk Kamanija amedai fidia hiyo, baada ya kufungua...
  3. Mpenzi wangu kanipa ultimatum kuwa nisipomuoa mwaka huu, atachukua maamuzi magumu

    Habari za leo watanzania wenzangu? Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote. Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…