magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Iringa: Mabinti waliokimbia kwao kisa maisha magumu warejeshwa kwenye mstari

    Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia. Elimu hiyo...
  2. TODAYS

    Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

    Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake. Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM. Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader...
  3. M

    Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  5. JABALI LA KARNE

    Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  6. Fundi Madirisha

    Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

    Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari. Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

    Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli. Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

    HAKUNA MAISHA MAGUMU ZAMA HIZI, KILICHOPO WATU WA SASA KUPENDA USAWA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hakuna maisha rahisi Kama ya Zama hizi. Siku hizi kila kitu kimerahisishwa. Sijazaliwa zamani Sana Ila miaka ya 2000 Kurudi nyuma maisha yalikuwa complicated, yalikuwa magumu jamani. Sio kwenye...
  9. J

    Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
  10. Liverpool VPN

    Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  11. mgt software

    Pesa Zilizotolewa na NMB zitavyoshindwa Kuwafikia walengwa Kanda ya Ziwa, masharti magumu bado pia kikwazo kikuu

    Wana Jf Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa. Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
  12. peno hasegawa

    Mkiambiwa maisha ni magumu awamu ya sita muelewe

    Haya habari ya mjini
  13. M

    Maisha kuwa magumu zaidi: China kuna matatizo ya umeme, Ulaya nako kuna mgao, gesi na makaa ya mawe ni dili kubwa

    Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka. Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
  14. The Boss

    Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

    Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote.. Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi.. Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi .. Hizi...
  15. Ndokeji

    Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

    Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
  16. GENTAMYCINE

    Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  17. N

    #COVID19 Serikali na Wizara ya Afya, tulikosea sehemu ndio maana mapambano dhidi ya covid yamekua magumu kueleweka, tumieni njia hizi

    Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu. Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention). Afya ya...
  18. N

    Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
  20. Siasa Basi

    Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
Back
Top Bottom