magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Gama

    Vikwazo vyafanya maisha ya Warusi kuzidi kuwa magumu

    Maisha ya raia wa Urusi yamezidi kuwa magumu kufuatia Taifa hilo kuingia vitani na jirani yake Ukrain. Hali hii imefanya mataifa mbalimbali kuiwekea vikwazo kadhaa ikiwemo baadi ya raia kuziwa kusafiri na hivyo kudumaza biashara na upatikanaji wa boidhaa. Yasemekana raia wamebaki kimya kwakuwa...
  2. B

    Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  3. P

    Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

    Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa! Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!! Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana...
  4. R

    Kenya 2022 Sikiliza Busara za Ansbert Ngurumo kutoka juu ya funzo kutoka uchaguzi wa Kenya

    Uchambuzi kutoka akili kubwa. Changia hoja na si matusi. Challenge hoja zake, then JF itakuwa na Great Thinkers. Msikilize CC Tundu Lisu; Mbowe Freeman, Godbless Lema
  5. JanguKamaJangu

    Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022. Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo...
  6. DR HAYA LAND

    Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  7. Lanlady

    Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

    Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk. Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa...
  8. Sky Eclat

    Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  9. U

    Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  10. chiembe

    Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  11. Equation x

    Huyu singo maza anataka nifanye maamuzi magumu

    Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini. Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda. Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha...
  12. kmbwembwe

    Cha kushangaza eti January Makamba ndio kaonekana wa kuongoza majadiliano magumu ya uwekezaji wa gesi nchini

    Ninavyoelewa majadiliano kuhusu uwekezaji wa kujenga kiwanda cha kuchakata gesi kupata NLG yalikua hayaendi haraka kwa sababu ya kuhakikisha uwekezaji unakua na faida kwa pande zote. Tofauti na awamu zingine awamu ya 5 iliweka sheria mpya za uwekezaji ili kuhakikisha pande zote nchi na...
  13. B

    Kivukoni - Kigamboni maamuzi magumu yafanyike; Wakazi watafute mbadala wa kutumia Kivuko maana kinafanya kazi kimoja

    MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA Umati ni mkubwa. Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
  14. B

    Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

    Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk. Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
  15. Restless Hustler

    Kumbe Maisha siyo magumu!

    Nilivyomaliza chuo mwaka jana nilisambaza CV org nyingi na baadhi wakanialika kwa usaili. Nilifanya interview kama 5 bila kupata kazi nikagundua kwamba napoteza vijipesa vyangu kwenye safari zisizoonyesha kuzaa matunda kwa sababu unakuta gharama ya interview moja nauli kwenda na kurudi, chakula...
  16. S

    Nilichukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu, katika maisha kuna wakati tunapitia changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa pamoja na mapenzi.Nilimpenda dada mmoja kwa dhati kabisa, lakini upendo toka kwake ulikuwa kama wakulazimisha hivi, maana wakati mwingine unamuona online ukimtumia msg hajibu au anachelewa sana ukiona...
  17. Ummesh

    Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja. Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe maalumu kwa vijana mnaoona maisha magumu

    UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU! Anaandika Robert Heriel! Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
  19. Idugunde

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  20. GENTAMYCINE

    Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

    Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
Back
Top Bottom