Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.
Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale...
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo.
1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa...
I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda.
Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
Mheshimiwa Rais
Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu.
Lakini sisi wakosoaji wako, tuna lengo la kukussidia kuona nyufa zinazotengenezwa kwa makusudi na...
Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !!
Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter.
Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula)
I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali.
Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
Wakuu kwa sasa hali imekuwa tofauti sana wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia hali ngumu saana.
Kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha wife material na kahaba😁
Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu.
Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali.
Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.
Jamani...
Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel.
Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa na mishe zangu za kupambana mtaani. Baada ya kumaliza chuo nikawa na bajaji zangu mbili, Moja nikampa...
Habari,
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili."
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni...
Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo.
Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...
Wakuu habari za leo,
Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM.
Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.