Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'.
CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele.
Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...