Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k.
Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona...