Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida?
Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama.
Kila Kona anajadioiwa Mbowe...
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali.
..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini.
Cc amanibaraka
Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha?
Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na...
By Godbless Lema kupitia twitter:
"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."
Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:
"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa...
WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA)
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na sifa hiyo basi ni wazi yeye sio nabii wala sio mtumishi wa Mungu, huwaga nawaitaga wahuni tu.
Mtumishi...
Mwezi uliopita ndugu yangu aliwekwa ndani kwa kosa dogo tu tena la kusingiziwa na jamaa flani mwenye hela, kisa Cha ndugu yangu kuwekwa ndani ni kumdai huyo bosi hela yake.
Kwa ufupi ndugu yangu kazulumiwa na huyo bosi Sasa kudai chake jamaa kamuweka ndani eti anadai ndugu yangu anataka...
Leo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi.
Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na kingai si jambo jepesi, bali ukweli uko wazi kwamba...
Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka...
Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe? Lakini pia hii ipo kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi au imeandikwa wapi kwamba ni.marufuku...
Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila.
Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani...
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
Mahabusu waliokuwa wanashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke wametoroka baada ya kumpiga askari kisha kuvunja lango la chumba cha mahabusu na kutokomea kusikojulikana.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja usiku, jijini Dar es Salaam...
Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo.
Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.
Ushauri kwa Mh. Rais...
Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko.
Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu.
Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Kwa namna tunavyoambiwa covid ipo na kwa ukweli kwamba binadamu ndiye kiumbe Mwenye risk yakupata huu ugonjwa na kwa kuzingatia kamatakamata isilo na legal facts inayoendelea upo uwezekano tukashuhudia wafuasi wa vyama vya siasa wakifariki au mahabusu wengine wakifariki Jambo ambalo siamini kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.