Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu.
Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).
Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba...
"Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
Uongozi ni hekima na busara, Aggrey Mwanri alikuwa mkuu wa Mkoa mwenye vitisho, mikwara sana lakini hakuwahi hata siku moja kumlaza mtu ndani yaani Polisi
Akiwa Tabora alitembelea miradi kwa umakini na ukali wa kutisha huku akisema Polisi kamata mtendaji huyo na Sukuma ndani, Lakini wakifika...
Siku hiyo kulikuwa na mechi ya Simba na Yanga, mechi hiyo iliisha kwa Simba kushinda goli 1 kwa nunge goli la MK14.
Ilikuwa ni mida ya saa kumi ndio kulikuwa na hiyo mechi hapo palikuwa ni lodge na bar ya mshua na Mimi ndio msimamizi au meneja wa hapo.
Wakati nipo bize nikitazama mpira huo...
Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk.
Je, watu hawa wakiwa Mahabusu huku kesi zao zikiendelea, huchanganywa na wafungwa?
Je, wanakula chakula cha gerezani ilihali...
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahojiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani? Pili, napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya...
Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano.
Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10.
Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana.
Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.