Mmoja wa watoto wanaohifadhiwa katika mahabusu ya watoto Upanga, jijini Dar es Salaam, amehoji kukaa mahabusu kwa miaka miwili sasa, akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake inayomkabili.
Mtoto huyo aliyekuwa mahabusu hapo kwa kukinzana na sheria akikabiliwa mashtaka ya mauaji, alibainisha hayo jana...