mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. BARD AI

    Mahakama: Mwanamke aliyefia Mahabusu ya Mahabusu alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020, ikisema kifo chake kilisababishwa na yeye mwenyewe kujinyonga...
  2. ChoiceVariable

    Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

    My Take Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana. ==== Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu...
  3. Jiko Koa

    Je, Mahakama ya mwanzo inatoa afidavit ya mzazi?

    Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo? Natanguliza shukrani.
  4. Nobunaga

    Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  5. BARD AI

    Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  6. BARD AI

    Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  7. Allen Kilewella

    Mahakama Tanzania ni kivuli cha tawi la Utawala

    Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi. Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni...
  8. BARD AI

    Mahakama yaamuru Dar es Salaam Cement Co. Limited kulipa Fidia ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza kazi Mkurugenzi wake

    Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  10. BARD AI

    Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  11. U

    Kesi ya mkataba wa bandari Mbeya: Wakili aeleza sababu za kuchelewa kukata rufaa. Mahakama haijawapa mwenendo wa kesi na nyaraka zingine...

    ============================================== Kwa ufupi (quotes) "Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba nyaraka muhimu za kesi kwa ajili ya rufaa ikiwemo proceedings (mwenendo) wa kesi na viambata vyake"...
  12. Allen Kilewella

    Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

    Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki. Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani...
  13. NIPOSINGO

    Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  14. Ramon Sanchez

    Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
  15. FaizaFoxy

    Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki Alhamisi, Agosti 24, 2023 Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
  16. Mohamed Said

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  17. FRANCIS DA DON

    Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  18. BARD AI

    Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  19. Stephano Mgendanyi

    Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania

    Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania Siku chache baada ya kukamatwa kwa Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Nyagali na Dk Wilbroad Slaa, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, ameonya mashirika ya kimataifa likiwemo Amnesty International, akiyataka kuacha kuingilia mambo ya...
  20. Miss Zomboko

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
Back
Top Bottom