mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. F

    Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

    Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mtalaka wake, marehemu Mercy Anna Mengi, kuhusu mgawanyo wa mali...
  2. BARD AI

    Kenya: Wanaharakati wafungua kesi kupinga Mahakama Kuu kumtangaza Rais

    Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto. Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
  3. Bushmamy

    Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

    Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
  4. BARD AI

    Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  5. Mganguzi

    Kenya 2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

    Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana. Na sio tu kuwa mpweke Bali...
  6. BARD AI

    Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  7. Miss Zomboko

    Mahakama ya Iraq yasitisha shughuli zake Wananchi wakisisitiza kuvunjwa kwa Bunge

    Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge, ukielezwa kuwa mgogoro mkubwa tangu uvamizi wa Marekani. Katika siku za hivi karibuni kiongozi huyo...
  8. Econometrician

    Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

    Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
  9. 666 chata

    Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
  10. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Wafahamu Majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya

    Wafahamu majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya Iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi, itasikilizwa na majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Zoezi la uchaguzi nchini Kenya lilikamilika baada ya raia kupata fursa ya kuchagua viongozi wao wa ngazi mbali mbali na matokeo...
  11. MSAGA SUMU

    Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru. Taarifa zaidi inafuata. ----- Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
  12. BARD AI

    Mahakama yatoa hukumu ya kesi iliyodumu miaka 10

    Mahakama ya Rufani imetoa hati ya kuwakamata na kuwaweka rumande washtakiwa wanne, akiwamo aliyekuwa mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Idara ya Wafanyabiashara Wakubwa, Justice Katiti. Awali, wajibu rufani walishtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya Jinai...
  13. Roving Journalist

    Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ina Ofisi 17 ambazo zimefunguliwa kwenye mikoa yote yenye masijala za Mahakama Kuu

    Ili kufikia azma ya kupanua wigo wa utendaji wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kuongeza ukaribu katika kuhudumia wananchi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ina Ofisi 17 ambazo zimefunguliwa kwenye mikoa yote yenye masjala za Mahakama Kuu ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na kwenye mikoa...
  14. BARD AI

    R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

    Mwimbaji huyo mkongwe amedaiwa kuwa na historia mbaya na ya siri ambayo umma haukuijua wakati wote akiwa mmoja wa wanamuziki maarufu na wenye ushawishi. Waendesha mashitaka wameiambia Mahakama kutarajia taarifa mbaya katika muda wa wiki 4 zijazo watakapowaleta mashahidi akiwemo msichana...
  15. Miss Zomboko

    Mahakama ya Malaysia kusikiliza rufaa ya mwisho ya Waziri Mkuu wa zamani

    Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imeeleza leo kwamba itasikiliza ombi la mwisho la Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak la kubatilisha hukumu ya kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi, na kuwa kuachiliwa kwake kunaweza kusafisha njia ya kurejea madarakani. Mahakama hiyo...
  16. BARD AI

    Mahakama Kenya yaruhusu Polisi kumshikilia Mbunge anayedaiwa kuua

    Hakimu wa Mahakama mjini Bungoma, Hakimu Charles Mutai ameruhusu polisi kumshikilia Didmus Barasa kwa siku 10 ili kusubiri Uchunguzi wa kesi ya mauaji inayomkabili. Mbunge huyo wa Kimilili anadaiwa kumpiga risasi na kumuua msaidizi wa mpinzani wake, Brian Khaemba wakati wa zoezi la kuhesabu...
  17. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Ombi la Zuio la Ruto kuapishwa akishinda Urais lafikishwa Mahakama kuu

    Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo watachaguliwa katika Uchaguzi wa leo Wamefafanua kuwa Kwa kuzingatia masharti ya Sura ya Sita ya Katiba...
  18. Ngiama makanda

    Vipi tukitumia mbinu hii kwenye mahakama zetu?

    A 16th century painting showing the skinning alive of a corrupt judge, Sisamnes, in the year 500BC. Sisamnes was a corrupt royal judge at the time of Cambyses ll in Persia. It was discovered that he took a bribe in court and passed an unfair judgement. As a consequence the king ordered that...
  19. Allen Kilewella

    Unapenda Marekebisho gani yafanyike Polisi na Mahakama

    Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
  20. JanguKamaJangu

    Jaji Mahakama Kuu ashauri Mahakimu watumie sheria ya kifungo cha nje

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma, Lameck Mlacha amewataka Mahakimu kutumia sheria ya kifungo cha nje kwa makosa chini ya miaka mitatu kama ilivyoanishwa katika sheria ili kupunguza mrundikano wa wafungwa gerezani. Ametoa mfano baadhi ya makosa hayo ni yale madogo na ambayo sio...
Back
Top Bottom