In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin.
However, in the landmark Jacobson v...
Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu.
Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti.
Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la.
Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu...
Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU!
Mawakili wetu muda huu...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kumruhusu Mbowe kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
bbc swahili
freeman mbowe
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
mahakamani
mahojiano
rais samia
salim kikeke
ugaidi
uhuru vyombo vya habari
uhuru wa mahakama
upinzani
Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo.
Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote.
OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.