Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.
Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu.
Kwa mfano tu mzuri, hivi...
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami.
=========
Jaji ameingia..
Kesi inatajwa...
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha anazozituhumu kuhusika katika wizi wa fedha za Serikali zilizomsababishia kesi ya uhujumu uchumi...
Salaam Wakuu,
Ile Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa.
Fuatilia uzi huu ili kujua kinachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 28/10/2021
====
Mawakili upande wa...
Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi.
Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
Aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Jambazi Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kusomewa mashtaka 6 ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
Ijumaa Oktoba 15 mwaka huu, Sabaya alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela pamoja na...
Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji.
Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba.
Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za...
Pole sana Professa Assad.
Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
Jeshi la polisi limeendelea na danadana zake kukwepa kumpeleka msanii Optter Mahakamani huku likiendelea kuzuia dhamana yake.
Wakili kutoka kituo cha THRDC amepeleka hati ya kimahakama kuwataka Polisi kumpeleka mchora katuni Mahakamani.
Kwa mujibu wa sakata hili, RCO wa Kinondoni ameendelea...
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.
Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.
====
UPDATES
Jeshi la Polisi Kanda...
Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:-
1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu
Endelea kufuatilia
========
Saa 3 na...
Nakwambia ukweli,
Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana.
Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa
Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.