"Jaji tutaendelea nae japo hatumwamini, hatumkubali na tunajua amefanya maamuzi yasiyokuwa ya haki. Tunawaomba wananchi muendelee kuja kwa wingi kufuatilia kesi hii ili kuendelea kuwaona Mashahidi wa michongo, Mawakili wa michongo na Majaji wa michongo." Mhe.
@jjmnyika
Chanzo: CHADEMA Tanzania...
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo.
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa.
Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu
Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi.
Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao
Hakika...
Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani.
Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo:
Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano.
Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani...
Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi.
Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki.
Kwamba...
Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja.
Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni...
Yapata miezi kama kama miwili imepita Tangu nilipobomolewa mlango wa nyumba ya kupanga mida ya mchana na nikaibiwa vitu kadhaa ikiwepo TV , radio, pesa , vyombo na vitu vingine.
Wakati Tukio linafanyika nilikuwa kazini na wife nae alikuwa safari so nyumbani hapakubaki mtu. Baada ya...
Leo kumekuwapo shahidi mahakamani kuonyesha Ling'wenya hakuwahi kufikishwa Tazara Polisi.
Shahidi huyu ana anayodai kuwa ni detention register kama ushahidi. Baadhi ya kurasa zake zimenyofolewa na nyingine zimeongezwa.
Si mageni kusikia polisi wamebambikizia watu kesi, wamewaweka watu rumande...
Unaambiwa vyombo vya dola vilishaenda kumchukua kumpeleka kolokoloni kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulisababishia Taifa hasara kupitia baadhi ya mikataba ya madini aliyoingia wakati akiwa Waziri akiiwakilisha Serikali.
Inasemwa mzee Mwinyi aliombwa na mmoja wa Viongozi mkuu mstaafu aende...
Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo.
Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
Sioni shida kujitokeza na kusema ile ada yetu ya kulindana tusiiache, sasa kumekuwa na msukumo wa watu wasiojulikana kutaka au kuwafikisha mahakamani wenzetu ambao wakati ulee walikuwa ndio tegemezi na walisimamia na kukipa chama uthubutu.
Hizi hila za wapinzani koko zinaonekana kuzaa matunda...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule...
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.
Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.