mahakamani

  1. Roving Journalist

    Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
  2. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh...
  3. Yoda

    Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  4. JanguKamaJangu

    Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  5. Roving Journalist

    Liston Katabazi kuiburuta TFF Mahakamani na kuidai Sh Milioni 700

    Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka. Kwa mujibu wa Katabazi ameifungulia kesi TFF katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, yenye namba 14708-2024...
  6. O

    WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

    https://www.youtube.com/watch?v=Msu_70errXQ Credit: Millard Ayo
  7. M

    Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

    Ameandika Wakili msomi. 👇 "Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
  8. B

    Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  9. Leak

    Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

    Wasalaam! Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo! Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na...
  10. Kaka yake shetani

    Ukiwa na kesi mahakamani usitafute Lawyer tafuta Advocate, utanishukuru usije kuona kesi chungu

    Wengi wetu tumejikuta tukishindwa kesi tukiamini Lawyer anaweza kukusaidia mahakamani. Hawa mara nyingi wanajiona wanajua sheria na mwisho wa siku unafungwa. hivi kwa nini
  11. figganigga

    Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  12. T

    Mchungaji Shusho kumburuza Mahakamani Mchungaji Mbarikiwa

    Mchungaji shusho kumburuza mahakamani mchungaji mbarikiwa
  13. Dr Matola PhD

    Swali kwa Wanasheria, ni kesi zipi unaweza kufunguwa direct mahakamani bila kupitia Polisi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
  14. Travelogue_tz

    Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
  15. Replica

    Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

    Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4 Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana...
  16. Erythrocyte

    Pre GE2025 Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
  17. J

    Chechefu mahakamani tena

    CHECHEFU MAHAKAMANI TENA Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo - ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi - Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa...
  18. Zakaria Maseke

    Kielelezo kinatakiwa kusomwa kwa sauti Mahakamani

    Nyaraka ikishapokelewa kama kielelezo Mahakamani, inatakiwa yule shahidi aliyeleta hicho kielelezo asome kwa sauti kilichomo ndani ya hicho kielelezo mbele ya Mahakama, ili upande wa pili kwenye kesi uweze kuelewa yaliyomo kwenye kielelezo na kuweka pingamizi kama anataka kupinga. Kama kuna...
  19. Zakaria Maseke

    Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  20. Pfizer

    IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la MwanaHALISI endapo hawataomba radhi kwa madai ya...
Back
Top Bottom