Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie
Mwanaume nimeamua kupika
Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza
Nakosea wapi wakuu
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu
Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba
Kutokana na umaarufu na utajiri wake...
Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
Habali ndugu zangu,
Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika.
Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani.
0629117470
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja.
Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika.
Nawasilisha
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada.
Uzi tayari.
Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi?
Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi?
Msaada please
Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari.
Haya hii hapa fursa maharage safi kabisa na bei ni kitonga unateleza tu, tunauza kuanzia kilo moja na kuendelea
Kilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.