Salam wakuu.
Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi.
Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu?
Kwa sasa tumeona...
Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani.
Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
1. Mwaka jana walituambia kwamba uzalishaji wa umeme nchini umefikia 1,872 MW, wa gesi ukiwa 1,350 MW sawa na asilimia 65% na ule wa maji ukiwa 450 MW sawa na asilimia 35%. Umeme wa maji hasa unazalishwa kutoka kwenye mabwawa ya Kidatu (200MW), Kihansi (180MW) na Mtera (70MW). Tuliambiwa...
Amini amini nawambieni!
Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE!
Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.
Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Call Centre ya Tanesco, kampuni iliyopewa Tenda ya kusimamia Huduma kwa Wateja ndani ya Tanesco ni Kampuni Binafsi. Inadaiwa ni ni mali ya Maharage na Makamba.
Inaongozwa na Mwamvita Makamba ambaye ni dada ya Januari Makamba Waziri wa Mambo ya Nje. Mwamvita Kaacha kazi...
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea...
Kuna Mdada yupo classic sana na anapenda kujichekesha muda wote, leo Amepita kutusalimia lakini meno yake ya mbele yakawa na maganda ya harage na lingine mchicha mkubwa tu.
Mwanzo sikujua nikafikiri ni tabia za warembo wetu kuweka madoido japo nilijiuliza kwanini hakuchagua rangi nzuri. Kumbe...
Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023
Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja wa viongozi ambao hawajavimbiwa.
Sikulazimishi, ila nakushauri, wafukuze wote waliotukera...
Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
Natarajia kuanza kuvuna Maharage mwezi huu nimeiona ni vema nianze kutafta soko mapema kabla ya kuanza kuvuna.
Aina ya Maharage ni Uyole Njano (goroli).
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.
Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme.
Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi wa saba, tunategemea kuwa na mgao kuanzia mwezi wa 10 maana ndo kiangazi kikali kinaanza.
Huyu...
Miaka ya hapo zamani niliwahi kuwa urafiki wa kawaida na jamaa fulani aliehamia mtaani kwetu, mara kadhaa tulikuwa tunatembeleana kujuliana hali.
Kumbe hapa mama na dada yangu wakawa wanampa madebe ya mchele na maharage mara kwa mara, wao walidhani wanasaidia urafiki wetu, haya yalifanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.