maharage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    KWELI Maharage mekundu yenye umbo kama figo yasipopikwa vizuri huweza kuwa sumu

    Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu wengi. Msaada wa kujua ukweli wa jambo hili.
  2. stan john

    Biashara ya mchele na maharage ;

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu Uaminifu 100% , Njoo DM Namba yangu 0788768480 Piga au tuma meseji. Asanteni
  3. M

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu. Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
  4. peno hasegawa

    Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

    Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM. Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
  5. Mtemi mpambalioto

    Maharage Chande: Si busara kushusha bei ya umeme

    kutoka katika gazeti la mwananchi: Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji. Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu...
  6. B

    Msaada wa mawazo: Nataka kuanza kilimo cha maharage

    Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target? Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
  7. C

    INAUZWA Nauza Maharage mapya ya njano Mazuri yapo Dar es salaam kilo Shilingi 2500

    Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla. kilo moja nauza shilingi 2500. Mzigo upo tani 2 na nusu asante. Tuwasiliane kwa namba ya simu +255789740368
  8. Abraham Lincolnn

    Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili. Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
  9. kmbwembwe

    Hivi hii TANESCO ya Maharage si walisema umeme wa grid umeshafika Kigoma?

    Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi. Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa...
  10. I

    Nahitaji certified mbegu za maharage ya njano

    Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu.
  11. M

    Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  12. BARD AI

    Wafungwa na Mahabusu wenye VVU Nchini wanalishwa Ugali Maharage kila siku

    Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku. Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
  13. F

    Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

    Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania. Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na...
  14. The Assassin

    Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko. Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
  15. GENTAMYCINE

    Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
  16. comte

    Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  17. sifi leo

    Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  18. Roving Journalist

    Maharage Chande: Treni ya umeme itatumia umeme wa TANESCO

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema kuwa usafiri wa Treni ya Umeme unaotarajiwa kuanza Nchini utatumia umeme wa shirika hilo. Amesema hayo alipokuwa akizungumza na Wanahabari Ijumaa ya Desemba 16, 2022, Dar es Salaam ambapo ametoa ufafanuzi huo...
  19. Roving Journalist

    TANESCO: Tumepunguza makali ya upungufu wa umeme, wiki iliyopita ilikuwa Megawati 200-250, wiki hii 100-150

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kufanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati 200 hadi 250 wiki iliyopita hadi wastani wa kati ya Megawati 100 - 150 wiki hii. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema wameendelea kuchukua hatua...
  20. Replica

    Maharage Chande: Hatuogopi na tutafanya hiyo miradi na private sekta(Kununua umeme). TANESCO kuuza dhamana(Bonds)

    Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa watu binafsi imekuwa inasuasua, inasuasua kwa sababu kihistoria kumekuwa na kujengeka uoga mwingi...
Back
Top Bottom