Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...