Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti.
Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa.
Binti kuolewa anafaidika vingi...